maji ya mafuriko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  2. B

    Tutengeneze mabwawa ya kukusanya maji ili kuzuia mafuriko

    ANDINIKA USHINDE Nina wazo na nikaona ni vyema niliwakilishe kwenu, hata kama sio mahali sahihi mtanisaidia lifike penyewe. Nimekuwa nikiona majanga mengi yatokanayo na mvua kama mafuriko na hakuna jitihada zinazotumika kukabiliana na hali hiyo. ANDIKO MABWAWA KUZUIA MAFURIKO Kila mara huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…