Habari za muda huu wana JamiiForums,
Sorry kuna changamoto ya maji wilaya ya Mafinga mjini mtaa wa Changarawe sekondari mkoani Iringa.
Ambapo maji yamekuwa hayatoki kuanzia tarehe 1 mwezi wa 3 mpaka sasa, ambapo tumefanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka husika wametuambia wanalishughulikia...