majaliwa stadium

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | Ligi Kuu | Majaliwa Stadium | 15 Agosti, 2026 | Wenye Pesa Mfuko wa Shati hawataki utani

    Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3 muhimu. Yanga SC imeanza kampeni yake ya Ligi Kuu ya NBC kwa ushindi, ikiondoka na alama tatu muhimu...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBC Premier League ⚽️ Namungo FC πŸ†š Young Africans SC πŸ“† 30.11.2024 🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi πŸ•– 6:30PM(EAT) KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Tukutane hapa kwa Updates... Updates... 18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa . Umiliki ni...
  3. JamiiForums Tanzania Majaliwa Stadium uwe reference kwa viwanja vingine Ligi Kuu

    Ukiacha viwanja vikubwa vinavyojulikana kama Mkapa Stadium na Azam Complex, Kwakweli huu uwanja wa Majaliwa licha ya kuwa mkoani lakini una muonekano mzuri sana na standard hususan kwa vilabu vidogo vya mikoani zinazoshiriki ligi kuu.Ni aibu kwa baadhi ya timu tena kongwe kama JKT kutumia uwanja...
  4. P

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani ataibuka mshindi? Fanya kutupia utabiri na uchambuzi wako hapa. --- Kikosi cha Simba kilichoanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…