Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amepiga kura yake leo katika kituo cha Buyuni Jimbo la Ubungo.
Baada ya kupiga kura alizungumza na wanaHabari akisema hadi sasa vituo vya kupiga kura utaratbu upo sawa na wananchi wanaendelea kujitokeza lakini pia...
Mgombea urais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara ameilalamikia Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) akidai kuwepo kwa changamoto katika uratibu wa ratiba za kampeni, jambo linalosababisha mkanganyiko na migongano katika maeneo ya mikutano...
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo Butiama mkoani Mara na kuweka shada la maua.
Kyara amezuru kaburini hapo akiambatana na Mgombea mwenza...
Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza nchi serikali yake itatoa vifaa bure kwa walemavu wa aina zote ili viwasaidia katika maisha.
Soma > Mgombea urais SAU aahidi ajira milion 10 kwa watanzania
Akizungumza na...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, ameahidi kushughulikia kwa haraka changamoto ya msongamano wa magari katika jiji la Dodoma, akisema tatizo hilo limekuwa likitesa wakazi wa majiji makubwa nchini na kudhoofisha shughuli za...
Mgombea urais kupitia Chama Cha Sauti ya Umma Mh. Majalio Kyara amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kushika nafasi hiyo atahakikisha anafungua fursa ya soko la mbaazi kwenye mikoa ambayo wakulima wanazalisha kwa wingi.
Kyara ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kibaigwa jijini...