Kuna mchezo tunaletewa kana kwamba hatuna elimu vichwani: Yaani Walioua ndugu zetu sasa wanajiita viongozi.
Mwigulu kaanza hadithi za kutohesabu waliokufa, wakati waliokufa siku zote tunaletwa idadi; Feri la kigamboni, MV Bukoba, Kipepeo, Treni iliyoseleleka, Mv Nyerere, nk. Eti sasa tuna...