mahakama za kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Museveni aruhusu mahakama za kijeshi kuhukumu Raia

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesaini marekebisho ya Sheria ya Jeshi la Ulinzi yanayoruhusu raia kuhukumiwa na mahakama za kijeshi katika mazingira maalum. Serikali imesema sheria hiyo inalenga kuimarisha usalama wa taifa, huku wakosoaji wakisema sheria hiyo inakiuka uamuzi wa Mahakama ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…