Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi.
Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya kuzuia wananchi wanachodai na tayari kishaanza kuchoka. Tusipotumia nguvu na akili kidogo kwa huyu...