Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo
hapo juzi Tulifanya sherehe kubwa ya mtakatifu Agatha wa sicily. Huyu Bi dada alikuwa mtu na nusu...
Nahisi watanzania tuna katabia ka kusahau ila internet itawakumbusha.
Huyu mpuuzi ndio CCm inaweza kumpa hata msemaji wa nchi kuijibu USA.
Kama mnakumbuka mafuvu alikuwa anatolewa povu na masha love eti leo anaweza kujibu mada za pole pole aisee .
Hii nchi bwana
Katika pita pita zangu kwenye magroup ya whatsapp nimekutana na hii clip ikizungumzia hali ya vyoo eneo maarufu kama mafuvu eneo la hifadhi ya Ngorongoro barabara ya kuelekea serengeti, Naomba kujua uhalisia wake, video ni ya lini na hali ipoje