Hawa watoto wa 2000 wana moto mkali sana, wamefanya vitu ambavyo sisi wakubwa zao tumeshindwa kwa muda mrefu sana.
Gen Z wakiamua lao ni ngumu kuwapooza au kuwa supress, mifano michache ni wiki chache zilizopita, Nchini Nepal wameweza kufanya mabadiliko ambayo wakubwa hawakuweza kwa miaka...
Rais Samia Januari 2023 wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya kisiasa, katika kikao kilichofanyika katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa tamko la kuruhusu shughuli za nje za kisiasa, ikiwemo mikutano ya hadhara.
Wengi waliamini ndio mwanzo mpya wa uhuru wa kisiasa...