Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala ya 600.
Gasper Massawe, kondakta wa daladala za Makumbusho amesema kutokana na kuadimika kwa sarafu...