Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na...