Kwa mara kadhaa nimekuwa nikipita eneo la Mabibo Sokoni, maarufu kama Soko la Ndizi. Kwa muda mwingi, kuanzia unapokata kona kutoka barabara ya Morogoro Road, kumekuwa na msongamano mkubwa wa magari.
Unaweza kutumia hata nusu saa au saa nzima kupita eneo ambalo kwa kawaida linapaswa kuchukua...