mabasi ya mkoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  2. JamiiForums Tanzania Nitegemee mazuri au mabaya yapi nikipanda basi hili?

    KAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri yapi na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande. Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…