mabanda ya nguruwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shamba lenye mabanda ya nguruwe la kukodi(Kibaha)

    Salaam JF. Natafuta shamba lenye mabanda ya nguruwe la kukodi ili niweze kuanza project ya kufuga nguruwe. Location iwe Kibaha Pwani au maeneo ya jirani.
  2. JamiiForums Tanzania Mabanda ya kufuga Nguruwe yanakodishwa Moshi

    Wakuu salaam, Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda? Je, wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia? Kodisha mabanda haya kwa ufugaji wa kuku au Nguruweb(na la ng'ombe pia lipo) kwa Bei tutakayokunaliana. Pia Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…