maandamano tel aviv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ansarullah wa Yemen watoa matangazo wakazi wa Tel Aviv kuondoka kwa ajili ya usalama wao

    Jeshi la Yemen (Yemen armed forces) limetoa matangazo na vipeperushi kwa Wakazi wa mji wa Tel Aviv kuondoka haraka katika mji huo kwakua siyo salama tena. Hii inafuatia mashambulizi ya makombora zaidi ya mara 3 ndani ya saa 48 zilizopita huko South and Central Israel. Yemen imesema itaendelea...
  2. Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

    Wanaukumbi Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe. Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…