Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na kushiriki katika masuala ya kijamii na kisiasa. Hakuna mamlaka yoyote inayoruhusiwa kikatiba kuzuia au...