Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia na bibi yao kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi katika Mtaa wa Bulola ‘A’, Kata ya Buswelu, wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
Soma pia:
Tukio hilo lilitokea jana Agosti 7, 2025 saa 7:30 mchana wakati mvua iliyoambatana na upepo na ngurumo kubwa...