Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
Kada wa CCM, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Linus Silayo sasa rasmi anaenda kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo.
Linus Silayo ni jina linalotajwa sana katika Jimbo hilo, amekuwa karibu sana kusaidia masuala ya kijamii ikiwemo yanayohusu vijana, anatarajiwa...