ligi ya epl

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2025/26

    Kuelekea msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani EPL pale Uingereza inayo tarajia kuanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa tarehe 15, Agosti 2025 hii ndio top 4 yangu. 1. Chelsea 2. Liverpool 3. Arsenal 4. Man City Tipia na yako tuone, karibu.
  2. Massanza: GSM amefanya ligi yetu kuwa kama EPL

    [emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL. [emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…