Baada ya kumalizika rasmi kwa msimu wa 2024/2025 mnamo Mei 25, 2025, Ligi Kuu ya Uingereza (English Premier League) itaendelea leo kuashiria rasmi kuanza kwa msimu wa 2025/2026. Mchezo wa ufunguzi utafanyika majira ya saa 4:00 usiku katika dimba la Anfield, kati ya bingwa mtetezi Liverpool na...