ligi daraja la kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Ligi daraja la kwanza kuna madudu mengi sana

    UJUMBE KWA TFF NA BODI YA LIGI! Kwa kweli tumechoka! Ligi ya Championship imekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu maamuzi ya waamuzi. Timu ndogo zinatumia fedha zao, nguvu na muda mwingi kuendesha klabu bila wadhamini, lakini mwisho wa siku zinahisi kunyimwa haki uwanjani. Mfano ni...
  2. JamiiForums Walichofanyiwa Biashara UTD sio fair kabisa. Bodi ya Ligi iangalie utaratibu wa Play-Off

    Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa upande wa pili Tabora utd tayari ilishachapwa na JKT ndani nje, Sasa kwanini Biashara ameshapambana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…