Lana Rhoades, aliyewahi kuwa nyota wa filamu za watu wazima (porn); anasema kuwa
alipokuwa na umri wa miaka 19, akiwa maskini na dhaifu, alidanganywa (groomed) na kumfanya kuingia kwenye tasnia hiyo.
Sasa, akiwa kama mama, anataka video zote zaidi ya 400 zifutwe kabisa mtandaoni ili mwanawe...