Zikiwa zimebaki siku 5 mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu, App ya mawasiliano ya Bitchat imeshika nafasi ya 1 kwenye orodha ya apps za bure zilizopakuliwa zaidi nchini humo
Bitchat ni app inayojikita kwenye faragha na mawasiliano yasiyohitaji mtandao wa intaneti, ikitumia teknolojia ya Bluetooth...