Jamani hongereni na majukumu ya kifamilia. Nauliza tu, hivi tangu kuzaliwa kwa chama CCM kimetengeneza au kuzalisha maditekta wangapi mpaka sasa?
Siku za usoni namwoona Daudi Bashite ataongeza idadi.
Wakuu,
Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama.
Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone.
https://www.youtube.com/live/8aNDV9Y2klA?si=CGbtC53BNZ6A5_yt
Huyu hapa msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa anaingia kutumbuiza...