" Aisee ndugu yangu ukitaka jambo Lako liende wewe nenda kafanyiwe Dua na watoto yatima. Yani majibu ni papo kwa papo. Dua zao Mungu anazipokea hapo hapo "
Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya MTU mmoja mvivu wa kufikiri na mkwepa majukumu.
Uliongea na Mungu Lini akakwambia huwa anapokea...