Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi.
Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...