kushika simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acheni kushika simu za wapenzi wenu, simu ni faragha ya mtu

    Aise hii tabia kwenye mahusiano ambayo mke au mume au wapenzi wanashika simu na kuanza kupekua haina afya kabisa. Simu nimenunua kwa pesa yangu au mwanamke kanunua kwa pesa yake, sioni ulazima wa kuchukua simu ya mwenzako na kuanza kukagua mpaka vikao vyao vya vikoba, miamala yake ya pesa na...
  2. Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

    Habari za wakati huu! Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…