Tujikumbushe vitabu vitatu.Kiukweli kama ukiinganisha unaona jinsi serikali ya ccm ilivyo.
1.kitabu cha kwanza kinaonesha utawala wakijiona zaidi ya juha.
2.Katika nchi kila kitu kinasadikika na utawala unakuwa wa kusadikika na wenye kufanya lolote.
3.Nguo wanazo zivaa nikubwa kuliko walivyo.