Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeamua kurejesha mfumo wa kuandaa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) kila baada ya miaka miwili.
Uamuzi huo umefikiwa kwa kauli moja na kamati ya utendaji ya CAF (EXCO), na kurejesha utaratibu uliokuwa ukitumika kabla ya pendekezo la...