kura za maoni 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Wanatuletea mtu ambaye hatukumchagua, maana ya kura za maoni ni nini?

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…