Sitawafunza kila kitu lakni hizi tambi zinapendwa na kila MTU wew mama wa nyumbani ukipika tambi za dengu ukapakia kwenye vifungashio utapata faida kwa hiyo pesa ya mahitaj madogo madogo inaweza kukusaidia ukizingatia wew Fanya biashara zinazo baki kula na familia yako maana ni tamu sana😛...