Ni mara kadhaa nimewahi panda gari konda na dereva wakawa wamepishana kauli hawaelewani wanagombana, ila hii ya leo walizidi.
Leo nimepanda daladala kutoka Tegeta kwenda Mwenge, konda na Dereva wakawa wanagombana, ugomvi wao ulianza kabla sijaingia hivyo sijui chanzo hasa cha kupisha kwao...