Hapa Nchini aliyepo juu ya Sheria ambaye tumesikia mara kadhaa anafanya atakavyo ni 'mmoja' tu!
Hakuna Mwingine mwenye jeuri ya kumtisha Kamishina wa madawa ya kulevya.
Halafu Polisi wanafuatilia watu wanaoandika Mitandaoni na kudaia Serikali ina Mkono mrefu, halafu wanashindwa kukamata mtu...