Mambo vipi wana-JF,
Kama unatafuta mtu wa kukusaidia kazi za kuandika, kutafsiri, au kutengeneza CV na Cover Letters za kisasa kabisa, upo sehemu sahihi. Ninafanya kazi hizi kwa umakini mkubwa, haraka, na kwa bei nafuu sana inayozungumzika.
Hizi ndio huduma ninazotoa:
Uandishi wa CV na Cover...
Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi!
Siku hizi, kila kitu...