Baada ya hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani
Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati alipoungana na wana Bukombe pamoja na wakazi wa maeneo jirani kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia mkesha...