Habari zenu wakuu.
Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja.
Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...