kuoa bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
  2. Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao. Wapo wanaojua nini maana ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…