Kumbukizi moja nzuri sana kutoka kwa JPM wakati akizungumza kwenye moja ya mkutano wa CCM pale Dodoma
Na hii inatuonyesha CCM ya sasa ilivyo honga wananchi Baiskeli na hizo pikipiki ili wachaguliwe, hakika imetuonyesha viongozi hao wamewadharau sana
Na usitegemee kupata maaendeleo ya kweli...
Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya!
Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...