kulala mchana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Ushauri wa kupata usingizi mchana

    Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
  2. Kwanini binadam usiku anaweza kulala saa nyingi ila mchana ukijaribu hata saa mbili hufiki

    Leo mchana nilikuwa nimechoka na kazi ngumu nikasema acha nikajifidie hata masaa sita nikalale. Nikajikuta nimeishia saa moja japo kuwa usiku mzima nyuma yake sikulala kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…