Rais Samia Suluhu ameagiza kujengwa kwa shule mpya 56 za kukuza vipaji vya Watoto ili waandalie na wakidhi vigezo na masharti yanayotakiwa kwenye kununuliwa au kusajiliwa na Timu kubwa ndani na nje ya Tanzania.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo leo...
Mimi nikiwa mdau mkubwa wa riadha nimeona niandike huu uzi kupinga comments za kisiasa zinazotolewa na watu mbalimbali kuhusu wanariadha wa Tanzania walioshiriki Olympic Marathon 2024 za Paris.
Comments nyingi ni za kisiasa kutoka kwa watu hata wasiojua utaratibu wa mtu kushirikishi mashindano...