Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda mrefu kukamilisha ngazi ya diploma angalau mojawapo.
Je, kwa hiyo ngazi ya elimu, ninaweza kuomba...