kujaza uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 VIDEO: Watu mbalimbali wakienda kujaza uwanja kwenye kampeni za mgombea wa CCM

    Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana! Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm. Ama hakika CCM inakubalika sana.
  2. GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

    Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
  3. PreGE2025 Miaka 3 kwenye game, suala la nyomi bado inaonekana shida kwa Rais Samia

    Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida. Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…