kuiunga mkono urusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukraine yaionya Afrika kuiunga mkono Urusi katika vita

    Serikali ya Ukraine imeripoti kuwa raia 1,436 kutoka Nchi 36 Barani Afrika wamejiunga na jeshi la Urusi katika vita dhidi ya Ukraine, huku ikionya kuwa idadi halisi huenda ni kubwa zaidi. Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Andriy Sybiha aliyoiandika Novemba 7, 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…