kuingilia nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni ukweli CCM inaweza kuwa imeingilia kanzi data ya NIDA!?

    Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA. Nami sikusita kutoa ushirikiano. Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana. Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…