kuigiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aliyesimamishwa kazi asema video zilizosambaa zikionyesha hakuchomwa chanjo ya Covid-19 zimechezewa

    Arusha. Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 . Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyesimamishwa kwa mzaha wa chanjo ashangazwa na hatua dhidi yake

    Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19. Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo zimechezewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…