Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi.
Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
Tumeshajua wale mashehe waliopanga kukata watu vichwa waliruhusiwa nani
Lakini kwani dini yake inaruhusu wizi wa kura
Kwani DINI yake inaruhusu utekaji
Kwani DINI yake ndo inaruhusu kuua
Kwani DINI yake ILIMRUHUSU vijana
wafanyiwe mambo ya sodoma Hadi wengine wamejinyonga
Hapana tusikubali...
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.
Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais.
Wananchi tutachukua...
Wakuu,
Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura.
Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao!
Soma...
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marko Henry Ng’umbi.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na...