Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...