kuhudumia mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

    hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria. yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao bado wanataka kuhudumiwa kwa hela za mwanaume kwenye kila kitu pekeyake hata kama mshahara ni sawa...
  2. Aibu sana kwa mwanaume kushindwa kuihudumia familia yake

    Ni aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake . Mwanaume aliyekamilika hawezi kukubali watu wengine wamlelee watoto wake wakati yeye yupo hai , that is...
  3. Waliooa wanawake wanaofanya kazi

    Kama mkeo anafanya kazi... Majukumu ya ndani unaysimamia mwenyewe vizuri. Jukumu la kodi pia unalisimamia wewe mwenyewe vizuri. KUNA HAJA YA KUMPA HELA YA NAULI NA YA KULA AKIENDA KAZINI?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…