Kuhani Musa amewajia juu wale wanaobeza juhudi za Mh. Rais Samia katika kuleta maendeleo nchini. Amesema amepokea nchi katika mazingira magumu, na kwa yale aliyoyashuhudia, ifike mahali tumwogope Mungu. Ameeleza kuwa ni akili za darasa la saba kuona kwamba “huyu ni Mwislamu, mimi ni mchungaji”...