kufutwa sherehe za uhuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Visiwani sherehe za mapinduzi zimeandaliwa kwa bajeti kubwa huku bara siku ya uhuru mtaambiwa hakuna sherehee subirini

    Viongozi wa CCM wanajipanga kusherehekea kwa nguvu maadhimisho ya Mapinduzi Zanzibar. Hili ni tukio muhimu lenye kukumbusha na kuimarisha utambulisho wa Zanzibar na watu wake. Kwa miaka minane sasa viongozi wa CCM wamekuwa wakifuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika. Si bahati mbaya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…